Zitto Kashinda kesi yake Mahakamni .... rufaa yake sasa kusikilizwa na Baraza la Rufaa la CHADEMA..... CHADEMA yaapa Kumchinjilia mbali

Zitto na Mwanasheria wake Alberto Msando wakiwasili mahakamani


Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambapo imempa kinga ya muda kutojadiliwa uanachama wake na Kamati Kuu ya Chadema!

 Wafuasi halisi wa CHADEMA wakionesha hasira zao dhidi ya Zitto Kabwe