Aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM ahamia CHADEMA

.
 
 
Aliye kuwa mgombea ubunge kupitia CCM katika kura za maoni katika jimbo la Ilemela Mwanza mwaka 2010 na kuibuka na nafasi ya pili.bwana DARIUSI NGOCHO, sasa amejiunga na jeshi la ukombozi CHADEMA.

Bwana ngocho alirudisha kadi ya CCM katika mkutano wa M4C PAMOJA DAIMA katika viwanja vya Furahisha na kukabidhiwa kadi na mbunge wa ILEMELA MH;HIGHNES KIWIA.

Bwana ngocho amesema CHADEMA ndicho chama pekee na tumaini la wanyonge,na yeyote atakaye jaribu kukizuia ni sawa na kuzuia maporomoko ya mto NILE kwa kutumia matuta.


Bwana Ngocho ambaye kwa taharuma ni Mwalimu mwenye Masters degree ya walimu amewasii walimu wakiunge mkono CHADEMA.


Tazama picha ya kamanda Ngocho akiwa na kadi ya CHADEMA.