Wanakwaya wa kanisa katoliki wapigwa bomu jijini Arusha , sita wajeruhiwa, mmoja hali yake ni mbaya



WANAKWAYA sita wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Kalory Rwanga, Usa River, mkoani hapa, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni na ya Tengeru, Arumeru baada ya kujeruhiwa kwa bomu.
 
Walikutwa na masahibu hayo juzi muda mfupi baada ya kutoka kanisani kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya saa 6.30 usiku, meta 100 kutoka Kanisa hilo, eneo la Kisangani.
 
Mganga Msaidizi wa hospitali hiyo, iliyoko chini ya Kanisa Katoliki, Fredrick Mathew, alithibitisha jana kupokewa majeruhi watano, huku wawili wakiwa na hali mbaya na wengine wakiendelea vizuri.
 
Alitaja majeruhi hao kuwa ni Theresia Lesitare (33), Philipo Ambrose (22), Alphonce Nyigo (19), Mary Merikiory (40) na Anna Mathew (19) wote wakazi wa Lake Tatu, Usa River.
 
Majeruhi mwingine ambaye hali yake si nzuri, Annet Baltazar (16) amelazwa katika Hospitali ya Tengeru. Alisema majeruhi hao waliumia miguuni kwa kuchanwa na mlipuko huo na baadhi ya vipande vya bomu, vilitolewa kwenye miili yao na baadhi yao kushonwa kwa nyuzi kadhaa.
 
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alithibitisha kupata taarifa za tukio hilo na kueleza, kwamba uchunguzi wa tukio umeanza mara moja na atatoa taarifa ukikamilika.
 
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi jana, Merikiory, alisema baada ya kutoka kanisani akiwa na wanakwaya wenzake, waliondoka kuelekea nyumbani, Lake Tatu.
 
Alisema wakiwa barabarani, waliona gari aina ya Toyota Land Cruiser likienda kwa kasi na lilipowakaribia, walisikia mlipuko na wakajikuta wamelala kando ya barabara huku baadhi yao wakivuja damu miguuni na tumboni.
 
Aliongeza kuwa gari hilo, halikusimama na lilipofika mbele waliokuwamo walifyatua mabomu ya kutoa machozi, kutawanya makundi ya watu mbalimbali waliokuwa wakionekana barabarani.
 
Alisema waliomba msaada kwa Paroko wa Kanisa hilo, Patrick Njau, ambaye alitoa gari na kuwapeleka Hospitali ya Misheni na wengine wakipelekwa Hospitali ya Wilaya ya Tengeru kwa matibabu zaidi.
 
Askofu alia
Akizungumza huku akitokwa machozi baada ya kutembelea majeruhi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Josephat Lebulu alisema ameshangazwa na tukio hilo. Alisisitiza kuwa Kanisa Katoliki, limechoka kuandamwa na matukio ya aina hiyo.
 
“Waumini wanakosa gani hadi watupiwe bomu, kwa nini polisi wako kimya hadi leo wasiseme? Kuna siri gani? Kwa nini kila siku ni Wakatoliki tu ndio wanapigwa mabomu, tunataka haki itendeke, watu wametoka kanisani usiku, wamekosa nini? Usalama uko wapi?” Alihoji.
 
Aliendelea: “Tumekosa nini, kupigwa mabomu kila siku hapa Arusha? Tumeshuhudia Olasiti, tukashuhudia Soweto sasa ni hapa Usa,” alisema. “Na kwa hili Kanisa hatutakubali hata kidogo, tunataka wahusika wawajibishwe na walioficha uovu huu wawajibishwe la sivyo viongozi walioficha uovu huu wawajibishwe, Mungu atasimama kwa ajili yetu,” alisema.
 
Mei mwaka jana, bomu lililorushwa liliua watu watatu na kujeruhi wengine zaidi ya 60 kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi Parokia ya Olasiti, mjini Arusha.
 
Waumini walikuwa wamejumuika katika misa ya uzinduzi wa Kanisa hilo. Misa hiyo ilikuwa ikiongozwa na Balozi wa Vatican nchini na Mwakilishi wa Papa Francis, Askofu Francisco Padila kwa kushirikiana na Askofu Lebulu.

>>Habari leo

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.

54 comments:


  1. jamani kila siku arusha au kuna ajenda ya kuua utalii
    ReplyDelete

    Replies


    1. KUNA BAADHI YA WAISLAMU WANATOA MAONI KUSEMA WAKATOLIKI NA ANGLIKAN HAWAELEWANI""SIYO KWELI UKRISTO NI MMOJA NA HATUNA UGOMVI WOWOTE ""TUNASHIRIKI MAMBO MENGI YA NDANI KUNA BAADHI YA WAISLAMU WANATAKA KUTUCHONGANISHA ILA HAWATAWEZA""WATAISHIA KULIA WENYEWE ""UKRISTO NI KITU KIMOJA""SIYO SAWA NA SUNI NA WASHIA ""WOTE WANAFIKIRIA TUNA UGOMVI WANAKOSEA
      Delete
  2. Daah!! Hao nadhani watakuwa anglikana ndo wanawalipua maana wako moto na nyinyi..........mmewafanya nn jaman!!
    ReplyDelete
  3. Watu wa Arusha wanapenda sana visasi. Itakuwa wenyewe kwa wenyewe humo ndani. Km kuna mtu walimtenda wamuite wamalize tofauti zao. Askofu usilie tafuta saluhu.
    ReplyDelete
  4. si bure kuna kitu mnawafanyia wenzenu jichunguzeni
    ReplyDelete
  5. si bure kuna kitu mnawafanyia wenzenu jichunguzeni
    ReplyDelete
  6. Tujiuluze hapa Tanzania kina nani wanakuwa na mabomu ya machozi? majibu tunayo
    ReplyDelete

    Replies


    1. Halikuwa bomu la machozi
      Delete
  7. Hawa wanauhasimu mkubwa na wenzao maana kwenye ukristo wanajiona wao ndo ma'top kwenye mashule na mataasisi yao wanawabagua wakristo wenzao kisa eti sio wakatoriki......hizi roho mbaya ndo mpaka dk slaa karithi...cjui huko mnafundishwaga roho mbaya..!dawa yenu ndo hyo....
    ReplyDelete

    Replies


    1. wewe 10:47 una matatizo cyo bure
      Delete
    2. WEWE11:54 UMEMJIBU VIZURI SANA YULE WA10:47""SIJUI NI KWA NINI BAADHI YA WAISLAMU WAKIMBILIE KUWASHUTUMU WAKRISTO WENZETU""WAKIDHANI WAMEHUSIKA????? NI WATU GANI WANAANGALIA WENZAO KWA NICHO LA WIVU KUWA SERIKALI INAWAPENDELEA?? NI WAKRISTO KWA WAKRISTO??AU WAISLAMU WALIWAHI KUWA NA MKUTANO KUPINGA MFUMO KIRISTO??SASA UKITAKA KUPATA WAZO SAHIHI. ANGALIA HAPA "AIDHA MAHAKAMA YA KADHI KUHIMIZA BARAZA LA KATIBA ""AU ZANZIBAR INAHAMU KUJITENGA"AU SERIKALI CCM INAWATISHA WANANCHI ""AMBAPO BILA KUTAMBUA WANANCHI HAWAOGOPI RISASI KAMWE WAMULIZE MABINA HISIA MBAYA HAKUNA JINSI ZANZIBAR INAWEZA KUJITENGA MAINGILIANO NI MAKUBWA MNO
      Delete
    3. Wewe 4:35 kuna jibu sahihi. Kati ya hizo hisia nne"""msisahau DAR kumeokotwa kitu kinachodhaniwa ni bomu Aidha kuna taasis fulani inasaidia sana zanzibar ijitenge ila wanashindwa namna ya kufikisha ujumbe kwa umma kuna mtu anaogopa lawama lawama hizi ni hisia sio mtu wa nje ya nchi kamwe m23 hapana""alishababy hapana wewe kikulacho kipo nguoni mwako
      Delete
  8. Taifa lenye amani tunaomba serikali itilie mkazo ili hii amani kidogo iliyopo izidi kuwepo Mungu tunaliweka taifa letu mikononi mwako utupe amani
    ReplyDelete
  9. Tusijishuku. Hao siyo anglican wala mkristo yeyote. Tusizunguke mbuyu HAO NI WAPINGA KRISTO. Ni ile ile ROHO YA MPINGA KRISTO ambayo ilishambulia kule olasiti na Ndiyo ROHO HIYO HIYO YA KISHETANI Iliyopelekea kuua Padri asiye na hatia kule Zanzibar na hata Kuwamwagia Tindikali. Hakika siku zao zinahesabika...
    ReplyDelete
  10. Kwa ufupi ni hivi....Huyo aliyehusika na kuwapiga hao bomu, Yeye na Wenzake wooote walionyuma yake na wanaomsapoti... Mikuma ya bibi zao ina mavuzi yenye mvi!!!
    ReplyDelete

    Replies


    1. tumia akili matusi hayana msaada!!
      Delete
  11. Waislam hao wenye sumu za kupinga ukristo,acheni kuzunguka mbuyu wakati ukweli unajulikana
    ReplyDelete
  12. NIA YA HAO WATU NI KUTUCHONGANISHA WATANZANIA.INABIDI TUWE WAANGALIFU SANA.
    ReplyDelete
  13. Kuna wachangiaji wameanza kuwanyooshea vidole watu wa dini au madhehebu fulani.Hivi mna ushahidi gani na hilo? au ni kuropoka tu? Kama mna ushahidi si muupeleke kwa wahusika? Tuache upumbavu huo.
    ReplyDelete
  14. Daah!! Hao nadhani watakuwa anglikana ndo wanawalipua maana wako moto na nyinyi..........mmewafanya nn jaman!!

    CHUNGA ULIMI WAKO MTOA MAONI HAYO HAPO JUU, una uhakika na hilo unalosema? huo ni uchochezi ambao hauna maana na hutaungwa mkono hata siku moja..........wakatoliki sio watu wa jazba, mlio na jazba mnajulikana. Mungu wetu sio Mungu wa visasi hata siku moja ndio maana sis tunamlilie yeye aliye HAI na atupiganie. Tutashinda vita hii ya kiroho kwa damu ya mwokozi wetu, shetani hana nafasi katika hili, hata siku moja hatutalipiza kisasi, ongeeni mnavyoweza kuongea.
    ReplyDelete
  15. Mchangiaji 11:20AM uko sawa. Katoliki, anglikana na madhehebu mengine yote ya Kikristo tunashiriki Ekaristi moja: Na cc wakristo tunalijua hilo viruri hivyo huyo tunampuuza tu. Huyo jamaa anayesema anglikana sijui kama anatumia mdomo kuzungumza au anazungumzia matakoni. Ameshajishtukia!
    ReplyDelete
  16. Hawa wanauhasimu mkubwa na wenzao maana kwenye ukristo wanajiona wao ndo ma'top kwenye mashule na mataasisi yao wanawabagua wakristo wenzao kisa eti sio wakatoriki......hizi roho mbaya ndo mpaka dk slaa karithi...cjui huko mnafundishwaga roho mbaya..!dawa yenu ndo hyo....

    Mtoa mada hiyo hapo juu..............una roho ya chuki binafsi dhidi ya kanisa katoliki, habari ya shule, taasisi za kanisa na Dr. Slaa hapa zimekujaje? tena kwa maoni hayo tu unajulikani kwamba wewe ni wa imani gani, kuna mahusiano gani kati ya Dr. Slaa na kanisa katoliki?. Hata iweje ni lazima mkubali kwamba tumekuwa juu kwenye shule na taasisi ni kwa sababu tunamtegemea Mungu wetu aliye HAI, Mungu wetu mwema na akusaheme maana hujui utendalo. Ninakushauri mkiri Bwana Yesu kuwa ni Bwana na mwokozi wako ili upate amani ya kweli
    ReplyDelete

    Replies


    1. Acha uzinzi,unafki,roho mbaya na chuki ya kuwabagua watu maana hata wewe hapo unamatatizo japo unajiona mzima...alafu kuwa na iman ya kweli haya matatizo yatakaa mbali na wewe dini bila vitendo utasubiri sana..........
      Delete
  17. BIBLIA INASEMA WATU WANGU WAMENIACHA,NAMI NIMEWAACHA NA WALA SITAISIKIA SAUTI YAO WALA KILIO CHAO.KILA KUNAPOKUCHA ROHO WA MUNGU ANAHAMA KUTOKA DUNIANI NA WATU WANAVAA ROHO YA UNYAMA NDO MAANA HAYA YOTE YANATOKEA,CHAMSINGI NI KUMRUDIA MUNGU,VINGINEVYO TUTEGEMEE HALI KUENDELEA KUWA MBAYA ZAIDI,WE UMTUMAINIE MUNGU WA KWELI NA SIO MIUNGU CHANGAMKENI MAANA MWANA WA ADAMU YUKO MLANGON.
    ReplyDelete
  18. tujiulize nan wanaomiliki mabom ya machozi tukawabane arf
    ReplyDelete
  19. Usiwe shabikimaandazi. Bomu la machozi tangu lini kikajeruhi watu mpaka kushonwa nyuzi hospitali? ..Acha ukuma! kenge we!
    ReplyDelete

    Replies


    1. usiwe mjinga bom la machozi linasambaratisha kabisa kumbe hujui hata silaha mhh!! Daudi Mwangosi aliuawa kwa hayo mabom!
      Delete
  20. Jamaa mnajua kweli ku2kana.cjui ma2c yenu ndo suluhu la swala hilo au la!. Yote kwa yote Mungu atasimama kwa walotendewa unyama huo.
    ReplyDelete
  21. Wewe 10:47 kapimwe inaonyesha una matatizo ya ubongo Bomu lililopigwa inahusiana vipi na Slaah? pole sana.
    ReplyDelete
  22. Ahaaa, bac hapo kdg nimekuelewa 12:24pm
    ReplyDelete
  23. Hivi eti jaman kwann iwe kw wakatoliki tu inamaana hakuna madhehebu mengine ya kikristo?hebu tujiulize?au kuna inshu inaendelea ndani yao....maana hata wanaouchunguza lazma wajiulize hiki ki2......au arusha ni kasehemu ka somalia maana wajipangia wenyewe lini tulipue na nani tumlipue kama vile hakuna serikali.......eti nyie wanaarusha nyie mnaasili ya somalia au afghanstan nn
    ReplyDelete

    Replies


    1. WEWE NI WIVU WA WAPINGA KRISTO1"17 "MNAKUMBUKA SHULE NYINGI ZA KIKRISTO KAMA SHAURI TANGA ZILICHOMWA MOTO??SASA WANADAI KUNA MKONO WA AGLIKAN HAWA WAPINGA TUNAWAJUA WALIVYO NA MATATIZO KUANZIA SOMALIA!NIGERIA NA SEHEMU NYINGINEZO"JIBU LIKO WAZI WIVU NA KUKATALIWA KWA MAHAKAMA YA KADHI NA ZANZIBAR KUWA NCHI KUNA MAMBO MENGI NDANI YAKE
      Delete
  24. Sasa mda c mrefu tuhamia makanisa ya kina mchungaji naninani huko nadhan pako salama maana huku hawezi kulipua kwanza mmiliki ni mmoja waumini wachache....ila hizi taasisi kubwa ukienda kusali inabidi uache mlinzi nje aangalie usalama au sali sala yako ya mwisho kabsaa kw kujihami ili likitokea la kutoa unapitiliza moja kw moja peponi...mtu unaingia church na mawazo kibao kama unaenda congo au somalia bhana yaan huna uwakika wa kutoka salama..!!sa hii ndo maanake nn wajameni!!!
    ReplyDelete
  25. MH! Yaani so sad! kwa nini wanaroho mbaya hivyo! OLE WAO! TUKIWAFUNGIA NOVENA SIKU TISA TUTAPATA MAJIBU WATAKUJA WENYEWE KANISANI KUOMBA MSAMAHA! NAWAOMBA WAACHE MARA MOJA KWANI MUNGU HAZIHAKIWI
    ReplyDelete
  26. Da sasa watafanya watu 2siende hata makanisani
    ReplyDelete
  27. Hivi tujiulize ni nani anayelipua?ni nani anaetoa taarifa za ndani ya kanisa kwa waumini flan wako sehemu flan,kiongozi flan sa hivi anafanya nan au anaenda wap au wiki ratiba ya kanisa iko hvi...maana hawezikani mtu anajua ndan pako salama na nje salama alafu ndo arushe bomu...na mission haipangwi cku moja au bila taarifa za kiintelejinsia toka ndan ili mission ifanikiwe kw urahic...mtabaki kusemasema tu anzane kujichunguza na muunde kamat ya ulinzi hata mungu anasema jisaidie nikusaidie mmebak kusema police police mikundu yenu kwan polic hawana din au familia zao zinasali angan?acheni usenge mavi....toa taarifa ya uhakika ikiwezekana fungen camera za cctv..kila ki2 serikali na huku na nyie mnashiriki
    ReplyDelete
  28. Kama huna cha maana c lzma kucomment. Hata Mungu hapend unavyonena maneno mabov knywan mwako, Mungu akusamehe. Watanzania 2we moyo wa upendo kwa kila m2, ubaguz haufai kabsa. 2mwombe Mungu atsaidie.
    ReplyDelete
  29. Mchangiaji hapa juu inaonyesha huna unalofahamu kuhusu taratibu za kanisa katoliki, kwani ratiba za ibada zetu zipo wazi, hatuna haja ya kuweka intelejensia hiyo unayodai wewe, hiyo ni kazi ya serikali husika. Una maana pale walikuwa wamelengwa watu au kikundi cha watu fulani? Acha vyombo husika vifanye kazi yake, kanisa letu lina utaratibu unaoleweka, kanisa haliwezi kuweka kisasi na mtu au kikundi cha watu wa imani fulani, kazi ya kuhukumu wenye makosa ni ya vyombo vya sheria na kwetu sisi ki-imani tunasema Mungu ndiye atakaye amua juu ya hilo. Jino kwa jino au jicho kwa jicho sera hiyo haipo kwenye imani yetu
    ReplyDelete
  30. Pole wore waliopatwa naajali labom mungu awaponye haraka Sana amen
    ReplyDelete
  31. Tumwambie mungu anaweza.kama alivyo wapigania wana waisrael katika safari yao kuelekea nchi ya ahadi vivyo hivyo aipiganie arusha.
    ReplyDelete
  32. KUNA WAKATI UNAKUJA MTAKUWA PEUPE,KAMA MNATUMWA KWA MANUFAA YA KISIASA AU KIUCHUMI,KUUA WATU SASA NA NINYI YANAKUJA KWENU,BY KASEKWA
    ReplyDelete
  33. Jamani nashuri tu..maana waumini wanaroho zao wanatakiwa kulindwa..hata police anapokuja na familia yake kanisani akili na mawazo yake yote huelekeza kwa muumba..sasa hivi haiwezekani kweli tukaomba baadhi ya waumini ambao wanaweza kulinda na hawana labda ajira..cdhani kama watakosekana na kulipwa ujira utaoweza kujikimu na maisha yao..maana na hiyo pia ni kazi ya kulinda kondoo wa bwana..hta zamani mahekalu yalikuwa yanalindwa...hii pia inaweza kupata ushahidi wa kutosha maana wahusika wataonekana hta km wakikimbia.ila ikibakia kuitaji police walinde mjue kila kanisa litataka lilindwe na hata misikiti na madhehebu mengine...sasa hapo itajenga picha gani?ni kuweka utaratibu flani ndani na nje ya madhehebu...
    ReplyDelete
  34. kikwete ondoa wakuu wote wa polisi hapo arusha na kama unawapenda sana wahamishie nyumbani kwako,kila sk niwakristo tena wakatoriki nasi tumechoka liwalo na liwe sasa.cha ajabu mnaunda tume matokeo hatuyaoni husikii kufutwa kazi hata inspekta.je mbona waislam hawapigwi mabomu?
    ReplyDelete

    Replies


    1. WEWE5"01 UMEULIZA WAKATOLIKI HUKU BARA LO HATA ZANZIBAR NI WAKATOLIKI !!UKATOLIKI NDIO ULIFANYA MAPINDUZI ZANZIBAR NA BARA WAKINA SLAA NI WAKATOLIKI WANAITAKA NCHI ILA KWA MAONI YAO WANADHANI ZANZIBAR INASHINDWA KUJITENGA""AU WAKATOLIKI WANAPENDELEWA NA SERIKALI MBONA NYERERE MKATOLIKI NA MKAPA MKATOLIKI??KWA MAONI YAO YA KIPUNGWANI WANADHANI PANDE ZOTEMBIKI WANADHANI WAMEFIKA HAPO KWA AJILI YA UKATOLIKI""NDIO MLIKATAA MAHAKAMA YA KADHI"AMA ZANZIBAR KUJITENGA NA PIA MNAPENDELEWA SANA NA SERIKALI KWENYE KODI ZA MAHOSPITAL NA SHULE KWANI SERIKALI YA KIKWETY HAIKURUDISHA HIZI KODI WAKATI WA MUSTAPHA NKULO KUNA AGENDA YA SIRI KWA BAADHI YA WAKUU WA SERIKALI ""KUNA UJUMBE FULANI NADHANI WANATAKA KUFIKISHIA UMMA ILA WANASHINDWA JINSI"HUJUMA ZINAFANYIKIA ARUSHA KWANI NI KITOVU CHA CHADEMA NA WAKATOLIKI KIAS BAADHI YA MAPUGWANI WANADHANI SIASA ZA TANZANIA ZINASUKUMWA ZAIDI NA NGUVU YA UKATOLIKI""WAKRISTO TUSIGAWANYIKE KWA VYOVYOTE VILE
      Delete
  35. Bomu lingetupwa club humu kila angesema afadhali wafe tu washenzi hao..huku wakiwa wamesahau kwamba waamini wengi wao japo sio wote ndo wateja wa majumba ya mastarehe na madisko au hata viongozi wengi wa dini hatuyajui ya mioyoni mwao....na inawezekana mungu huwaondoa watu wake kwenye hayo majanga mapema sana kabla ya kutokea...maana mungu huwaepusha na mabaya watu wake......na maanisha hivi ikiwa waumini wakawa na imani ya kweli mbele za bwana na wakaomba...basi huyo anaetaka kufanya ubaya atapata matatizo hata kabla hajafanikisha ubaya wake ila mkibaki nusu nusu maekalu yakawa ndo maficho ya madudu yenu hii hali haitaisha....
    ReplyDelete
  36. kafiri ni kafiri tu, angalia chuki zilivyowatawala mnajilipua wenyewe kwa michuki yenu huko kwenye madisko yenu(kanisani) mmeanza kusema waislam, kama mnataka vita na sisi semeni sio muanze ku beep beep kijinga,bomu la Arusha-olasiti aliye lipua ni kafiri mwenzenu Ambrose Victor Calist na hilo pia ni nyie wenyewe,vipofu,viziwi, mabubu wakubwa nyie.
    ReplyDelete

    Replies


    1. Wewe 5:28PM mdomo wako ndio unaokulaani sisi wakatoliki hatuna roho ya visasi bali ni wapenda amani. EE MUNGU WAPONYE HAWA WANAO WALIOJERUHIWA...AMINA
      Delete
    2. dua za kuku kwa mwewe, na ukifa kafiri ni motoni tu hiyo haina mjadala.
      Delete
  37. Kama serikali haitazima milipuko ya mabomu hii inayoendelea siku wakatoliki wakaamua kulipiza kisasi, Tanzania itakuja kuwa kama Somalia au Sylia
    ReplyDelete
  38. ccm kazi yao kuu
    ReplyDelete
  39. We 5:28 Kumamaako Na Dini Lako La Kufuga Mashetani,mbwa Mkubwa Wee,kafri Mwenyewe,malaya Mkubwa Wee.
    ReplyDelete

    Replies


    1. naona kondoo wameanza matusi,tatizo wachungaji wanawamezesha dogma na matusi, halafu wakiwanywesha na mvinyo wamalizie na mikate hamuelewi kitu na haya ndio matoke yake, na ukifa kafiri we ni motoni tu we endelea kukata viuno.
      Delete