Akina dada wakiwangoja viongozi wa Chadema waliokuwa wanatokea Kiteto
Diwani Wa kata ya Makuru dodoma kupitia CHADEMA akiongea na wananchi waliohudhuria mkutano huo
Viongozi wakiingia mkutanoni!
wananchi wakisikiliza kwa makini viongozi wao wa kitaifa
mkutano huo uliohudhuriwa na viongozi John Heche na Tundu Lisuu uliwakusanya wananchi wengi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya mji wa Dodoma , ulifanyika katika viwanja vya Barafu... Pia wananchi wengi waliojitokeza walipata bahati ya kuzungumza na waandishi wa habari, mmoja wa wananchi hao ni Musa Salim Mtemelwa alieulizwa kuhusu suala la Zitto na kusema yafuatayo
"Zitto ameonesha kuwa siyo mwanasiasa wa kweli na machachari kwani kukbali kuwadharirisha vongozi wake na kuwatukana kwenye vyombo vya habari ni ujinga mtupu"