TASWIRA ZA MECHI YA NANI MTANI JEMBE


Mashabiki wa Yanga wakishangilia.
Haruna Shamte akiambaa na mpira.

Uhuru Selemani…
Mashabiki wa Yanga wakishangilia.
Haruna Shamte akiambaa na mpira.
Uhuru Selemani kazini.
Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe, akishangilia bao lake la kwanza alilowafunga Yanga.
Simba SC wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Amissi Tambwe.
Haruna Chanongo akimtoka beki wa Yanga, Mbuyu Twite.
Hekaheka langoni mwa Yanga.
Amissi Tambwe akishangilia bao lake la pili.

MSHINDI WA GARI ‘MANYWELE KIGOLI 2013’ HUYU HAPA

Posted by GLOBAL on December 22, 2013 at 1:00pm 0 Comments
Mratibu wa mashindano, Maimartha Jesse (kushoto), akimkabidhi funguo mshindi wa Manywele Kigoli 2013 Suzan (Suzie) muda mfupi baada ya kutangazwa kutwaa taji hilo.
Suzie (katikati) akiwa ameketi na mshindi namba mbili, Shuu (kulia) na namba tatu, Monalisa (kushoto).