Linex amkana Jack Cliff baada ya kunaswa na UNGA huko China....Amedai kuwa hana ukaribu naye wala ushikaji wowote




Kufuatia madai mbalimbali juu ya Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya nchini China (Jack Clief) , Msanii Linex ambaye amefanya video ya wimbo wake wa Kimugina  na msichana huyu  ameamua  kumkana  laivu....

Huu  nu  ujumbe  wake  alioundika  facebook