Hali si nzuri sana jijini Mwanza kutokana na mgomo wa wafanyabiashara wa jiji la mwanza ulionza leo asubuhi....
Kwa mujibu wa mpekuzi wetu aliyeko jijini Mwanza muda huu, maduka yote yamefungwa na wafanyabiashara hao wako barabarani muda huu na mabango yao wakielekea viwanja vya Tanganyika....
Chanzo cha mgomo huo kinadaiwa kuwa ni mashine za TRA ambazo zimekuwa zikipingwa kila kona ya nchi..