JAMES MWANG'AMBA AWAPA SOMO LA UJASIRIAMALI WAKAZI WA MWANZA

Mmoja wa wakazi wa Mwanza akimuuliza maswali Mwalimu wa Ujasiriamali, James Mwang'amba (hayupo pichani).
Mwalimu wa Ujasiriamali James Mwang'amba akijibu maswali ya wakazi wa jiji la Mwanza.