Serikali kupitia Ofisi ya Rais
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia watanzania
wenye sifa na uwezo kujaza jumla ya nafasi wazi za kazi 2,748 kwa
ajili ya waajiri mbalimbali Nchini.
Kwa
mujibu wa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw.
Xavier Daudi nafasi hizo za kazi ambazo zinapatikana katika tovuti ya
Sekretarieti ya Ajira ambayo ni www.ajira.go.tz ni kwa ajili ya waajiri
mbalimbali wa Ofisi za Umma.
Daudi
alitaja nafasi za kazi zinazotangazwa kuwa ni Afisa Uvuvi daraja la ii,
Mvuvi msaidizi daraja la ii, Afisa Mifugo msaidizi daraja la ii, Afisa
mifugo daraja la ii, Mteknolijia wa samaki daraja la ii, Daktari wa
mifugo daraja la ii,Afisa utafiti Mifugo daraja la ii, Daktari utafiti
Mifugo daraja la ii, Fundi sanifu Maabara Mifugo daraja la ii, Mkufunzi
Mifugo daraja ii, Mkufunzi wa Mifugo msaidizi na Daktari Mifugo.
Kada nyingine ni Mkufunzi
daraja la ii, Mtekinolojia wa Samaki msaidizi daraja la ii, uunda boti
daraja ii, nafasi 2, Dereva wa vivuko daraja la ii, msaidizi
mifugo,afisa kilimo daraja la ii, Afisa kilimo msaidizi daraja la ii,
Mhandisi kilimo daraja la ii, Fundi sanifu daraja la ii, Afisa utafiti
kilimo daraja la ii, Mkufunzi wa kilimo msaidizi, Afisa kilimo msaidizi
daraja la iii,Dereva daraja la ii, mlinzi, Mhasibu mkuu daraja ii,
Msanifu lugha mkuu iii na Afisa vipimo.
Kwa
mujibu wa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira nafasi hizo za kazi ni kwa
ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo, Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Mkurugenzi Halmashauri
Wilaya ya Kiteto, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Mlele, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Kalambo, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Mpanda,
Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Nkasi, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya
ya Sumbawanga na Mkurugenzi Manispaa ya Kinondoni.
Nafasi
nyingine ni kwa ajili ya Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Kyerwa,
Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Chato, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya
ya Misenyi, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Ngara, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Muleba, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Bukoba,
Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Handeni, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya
Mkinga, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Kilindi, Mkurugenzi
Halmashauri ya Mji Korogwe, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Pangani,
Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Handeni, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya
ya Korogwe na Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Muheza.
Nafasi
hizo pia ni kwa ajili ya Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Ulyankulu,
Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Sikonge, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya
ya Uyui, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Nzega, Mkurugenzi Halmashauri
ya Mji Nzega, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Igunga, Mkurugenzi
Manispaa ya Tabora, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Ikungi, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Mkalama, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Iramba,
Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Manyoni, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya
ya Singida, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Itilima na Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Ushetu.
Waajiri
wengine ni Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Msalala, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Kishapu, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya
Bukombe, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Meatu, Mkurugenzi Halmashauri
Wilaya ya Shinyanga, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Maswa, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Kahama, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Bariadi,
Mkurugenzi Manispaa ya Shinyanga, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya
Nyasa, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Namtumbo, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Mbinga, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Tunduru,
Mkurugenzi Manispaa ya Songea, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya
Nyang`wale, Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela, Mkurugenzi Halmashauri
Wilaya ya Misungwi, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Ukerewe,
Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Geita na Mkurugenzi Halmashauri Wilaya
ya Magu.
Nafasi
hizo za kazi pia ni kwa aajili ya Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya
Tandahimba, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Newala, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Masasi, Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Masasi,
Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Gairo, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya
ya Mvomero, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Kilombero, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Ulanga, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya
Morogoro, Mkurugenzi Manispaa ya Morogoro, Mkurugenzi Halmashauri ya
Mji Tunduma, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Momba, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Mbarali, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Ileje,
Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Kyela, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya
ya Chunya, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Mbozi, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Mbeya, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Rorya,
Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Serengeti, Mkurugenzi Halmashauri
Wilaya ya Bunda, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Tarime, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Butiama, Mkurugenzi Halmashauri Manispaa ya
Musoma, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Ruangwa, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Nachingwea, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya
Lindi, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Mwanga na Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Hai.
Katika
nafasi hizo waajiri wengine ni Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Rombo,
Mkurugenzi Halmashauri Manispaa ya Moshi, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya
ya Kahama, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Uviza, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Monduli, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Babati,
Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Hanang, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya
ya Simanjiro, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Bagamoyo, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Kisarawe, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya
Rufiji, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Mafia, Mkurugenzi Halmashauri
Wilaya ya Mkuranga, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Iringa, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Mufindi, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Makete,
Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Karatu, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya
ya Chamwino, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Mpwapwa, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Kondoa, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Kongwa
na Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Bahi,
Waajiri
wengine katika nafasi hizo za kazi ni Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya
Chemba, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Njombe, Mkurugenzi Halmashauri
Wilaya ya Kongwa, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Kilolo, Mkurugenzi
Halmashauri Wilaya ya Makambako, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya
Ludewa, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Wanging`ombe, Mkurugenzi
Halmashauri Manispaa ya Kigoma, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya
Kigoma, Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Kasulu, Mkurugenzi Halmashauri
Wilaya ya Kakonko, Katibu Tawala Mkoa Arusha, Katibu Tawala Mkoa Pwani,
Katibu Tawala Mkoa Dodoma, Katibu Tawala Mkoa Iringa, Katibu Tawala
Mkoa Kilimanjaro, Katibu Tawala Mkoa Mtwara, Katibu Tawala Mkoa Mwanza,
Katibu Tawala Mkoa Ruvuma, Katibu Tawala Mkoa Tabora, Katibu Tawala
Mkoa Kagera, Katibu Tawala Mkoa Dar es salaam, Katibu Tawala Mkoa
Rukwa, Katibu Tawala Mkoa Katavi, Katibu Tawala Mkoa Njombe, Katibu
Tawala Mkoa Njombe, Katibu Tawala Mkoa Simiyu na Katibu Tawala Mkoa
Geita.
Daudi
amesema mwisho wa kupokea barua za maombi ya kazi ni tarehe 10 Desemba,
2013. Aidha amewataka waombaji wote wa fursa za ajira kutambua kwamba
Kila mwombaji kazi atapangwa katika kituo chochote cha kazi bila kujali
eneo au mahali alipoomba kutokana na mahitaji ya mwajiri pamoja na
idadi ya waombaji katika eneo husika.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Ofisi ya Rais-Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. 27 Novemba, 2013.