PICHA:Lissu katika mkutano wa Chadema kata ya Kiboriloni


Tundu Lissu akiwa na John Heche  wakiwa kata ya Kiboriloni katika Operesheni Pamoja Daima inayo endelea nchi nzima yenye lengo la Kuwaandaa Wananchi kushiriki kikamilifu kwenye Mchakato wa Katiba ikiwa ni pamoja na kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wakati ukifika.