Kamanda wa Polisi Kinondoni anasema ‘December 11 2013 saa nane mchana maeneo ya Maringo roundaboutJaphet Mriga ambae ni Mwanajeshi wa JWTZ Lugalo akiwa na mwenzake ambae ni mfanyabiashara Abdul Zacharia, walikua wanatoka bank ya NMB Mlimani City ambapo Mwanajeshi huyu alichukua shilingi milioni tisa kwa dhumuni la kumpatia Zacharia ili amnunulie gari Zanzibar’

Mwili wa Jambazi alieuwawa akiwa na kofia ya kuendeshea pikipiki.

Pikipiki iliyotumiwa na majambazi
Mwanajeshi aliejeruhiwa.