R.I.P NAIBU MEYA VICENT RIMOY;CHADEMA;
Naibu Meya wa manispaa ya Moshi ambye pia ni diwani wa kata ya
Kiboriloni Mh.VICENT RIMOY amefariki dunia ghafla baada yakuanguka
akiwa shambani kwake huko Mandaka.Mwili wake upo KCMC.
Tulikupenda sana ila Mungu kakupenda Zaidi;Kamwe hutasaulika katika harakati hizi;Umetufunza uzalendo,uwadilifu,uwajibikaji,wewe ni wakipeke sana, Lazima tukukumbuke milele;
Umekuwa diwani 1995-2013,Pumzika kwa Amani,Vicent;