KATIBU WA CHADEMA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) AHAMIA CCM LEO......

HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.