Tanzania Kwanza
FIKIRI TOFAUTI, TANZANIA INAKUHITAJI
SIASA
MICHEZO
KIMATAIFA
KITAIFA
UDAKU
HABAR
MAMBO YA KUFANYA KAMA KIJANA
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha na iache bila kuigusa gusa.
2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye, panga maisha.
3. Ishi mahali pa peke yako, acha kuishi kwenye nyumba au kupanga na washkaji.
4. Lipa madeni yako ya zamani. Yote!
5. Tengeneza mwili ambao unataka halafu jitahidi ku-umantain! Anza kuzingatia kuishi kwa kujali afya yako sana.
6. Jitahidi uwe na marafiki ambao wana changamoto za kimaendeleo zitakazokusaidia.
7. Anza kujinunulia assets kama ardhi na nyinginezo.
8. Jifunze kuvaa vizuri na kwa heshima, si tu ilimradi umependeza.
9. Kubali sasa kwamba umekua na acha tabia na mambo ya kitoto
10. Yaache ya zamani yapite na anza mapya. Mwajuma huna mpango naye, achana naye. Acha kurudi rudi nyuma!
Posted By:
jufrt
Tweet
Newer Post
Older Post
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI
Popular Posts
Kitendawili Baraza la Mawaziri kuteguliwa leo
KATIBU Mkuu Kiongozi na Mkuu wa Utumishi wa Umma, Balozi Ombeni Sefue ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Mawazir...
TANZANIA, AFRIKA KUSINI NA ZAMBIA WANATUMIA WIMBO WA TAIFA WENYE MELODY INAYOFANANA, SOMA HAPA KUJUA SABABU
Huenda ukawa umejiuliza swali hili kwa kipindi kirefu lakini hujawahi kupata jibu. Kwanini Tanzania, Afrika Kusini na Zambia zin...
Aliyeshika nafasi ya tatu azimia
Dar es Salaam. Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tatu kwa ufaulu kitaifa katika Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne wa 2013, jana...
Siri ya mafanikio St Francis
Mbeya/Dar. Mkuu wa Shule ya Sekondari St Francis ya mkaoni Mbeya iliyoshika nafasi ya kwanza kitaifa katika Matokeo ya Kidato cha Nne yal...
Wasichana wawaburuta wavulana
Watahiniwa wa kike wamefanya vizuri kwa kuchukua nafasi saba kati ya 10 za juu, huku Shule ya Marian Girls ya Pwani ikiongoza kwa kuwa n...
Nyimbo 14 za wasanii wa Hip Hop zilizotaja jina la Nelson Mandela
Jina la Nelson Mandela, rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini lilikuwa na litaendelea kuwa maarufu dunia nzima. ...
YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA CHADEMA KIBONDO, KIGOMA
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kwa kushirikiana na wananchi, wakimdhibiti mmoja wa vijana waliofanya fujo katika mk...
Kijana aliyenunua makahaba wawili na kujifungia nao chumbani kwa lengo la kuwafaidi wote AUMBUKA.....Makahaba wamzidi nguvu,azima na kupoteza fahamu
Mwanaume mmoja ambaye ni muokota chupa maarufu aliyetambuliwa kwa jina moja la Hamad anadaiwa kunusurika kuf...
Breaking News:. Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya
HABARI KAMILI KUHUSU KUTEULIWA KWA IGP MPYA.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiw...
NMB BANK CAREER OPPORTUNITIES,BANK TELLER VACANCIES , MAY 2014
BANK TELLER VACANCIES The Organisation NMB Plc rely on your commitment to achieve its vision and mission of being the preferred Fi...
Followers
Powered by
Blogger
.
Contact Form
Name
Email
*
Message
*
© 2013 TANZANIA KWANZA
Designed by:
Tanzania Kwanza team