Lowasa ambaye ni Mbunge wa Monduli aliwataka waendesha bodaboda hao kuanzisha vyama vya kuweka na kukopa (Saccos) ambazo zitawasaidia kujiongezea kipato na kujinunulia pikipiki zao na kuachana na kuendesha pikipiki za matajiri.
LOWASSA AWAAMBIA BODABODA: NUNUENI PIKIPIKI, MSIWATAJIRISHE WENGINE
Lowasa ambaye ni Mbunge wa Monduli aliwataka waendesha bodaboda hao kuanzisha vyama vya kuweka na kukopa (Saccos) ambazo zitawasaidia kujiongezea kipato na kujinunulia pikipiki zao na kuachana na kuendesha pikipiki za matajiri.
Posted By:
Unknown